Utalii ni moja ya sekta nyeti zinazotegemewa na mataifa mbalimbali kukuza uchumi wa nchi. Tanzania ni miongoni mwa mataifa hayo ikiwa na utajiri wa vivutio vya utalii na maliasili.Tanzania ina aina mbalimbali za utalii na vivutio vyake…
Hayo yalisemwa na Rais Mstaafu Dr. Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiahirisha Tamasha la 40 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni katika Viwanja vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TASuBA) Wilayani Bagamoyo tarehe 30/10/2021.
Utamaduni…
SERIKALI inaandaa miongozo ya namna ya kuvuna mikoko iliyoko kwenye maeneo ya delta ambayo inakaribia kukamilika mwishoni mwa mwezi huu na kuwataka wananchi waendelee kuwa na subira.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary…